Karibu katika blog ya G4D TZ REAL. Tangaza nasi biashara,matangazo,kazi na muziki wako hapa kwa bei nafuu sana wasiliana nasi kwa simu no. 0625910376 au WhatsApp no. 0755317537 Asante

Millionaire  Ads

Taarifa : Rais Magufuli kamhamisha DC na kumteua mwingine


Leo July 7 2016 tumesogezewa taafa kutoka Ikulu Dar es salaam ambapo Rais John Pombe Magufuli amefanya uteuzi mpya kwa kamteua Deogratius Ndejembi kuwa mkuu wa wilaya ya Kongwe na kumhamisha John Palingo kwenda wilaya ya Mbozi, baada ya aliyeteuliwa kuwa DC wa Mbozi Ally Maswanya kuomba uteuzi wake utenguliwe.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Millionaire  Ads

.

Copyright © 2017 G4D MEDIA