Hot Posts

Picha Za Kuwaaga Marehemu Wote Waliokumbwa Na Tetemeko La Ardhi Huko Bukoba Mjini Mkoani Kagera.

 Ni Baada Ya Miaka Ishirini Tu Mara Baada Ya Kutokea Ajari Ya MV Bukoba, Ilipotimia, Na Leo Ni Tetemeko La Ardhi, Swali Ni Je Kwa nini Bukoba????

Hizi Ni Baadhi Ya Picha Zinazoonesha Maafa Yaliyotokea
Mungu Awalaze Mahali Pema Peponi Wale wote Waliopoteza Maisha, Na Kuwapa Pole Wote Waliopoteza Ndugu Na Jamaa Zao. Amen

No comments