Karibu katika blog ya G4D TZ REAL. Tangaza nasi biashara,matangazo,kazi na muziki wako hapa kwa bei nafuu sana wasiliana nasi kwa simu no. 0625910376 au WhatsApp no. 0755317537 Asante

Millionaire  Ads

Tazama Hizi Picha Zinazoonesha Hasara Baada ya tetemeko la Ardhi Bukoba, kanda ya ziwa Victoria

 Hili Ni Eneo Liitwalo Kitendaguro Huko Bukoba
 

 Hawa Ni Wanafunzi Wa Shule Ya Sekondari Ya Ihyungo secondary wakiwa Hospotali Teule Ya Mkoa Kagera ,Government


 Hii Ni Barabara Ya Kuelekea Custome , kasarani
Huko Bukoba


 Hapo Ni Jamco Berber shop  Huko Bukoba

Hapo Ni Ndani Ya Hospotali Teule Ya Mkoa Kagera ,Government Na Hao Ni Baadhi Ya Waathirika Wa Tetemeko Hilo
  
Hilo Ni Eneo Mojawapo Huko Wilayani MisenyiMkoa Kagera
 

Hapo Ni Kwenye Duka La Mtoka gas
Huko Bukoba

Hilo Ni Eneo La Jamuhuri road  Huko Bukoba


Pia Tetetmeko Hilo Limeathiri Maeneo Mengine hasa eneo la ukanda wa ziwa Tanzania na kutikisa katika miji mbalimbali ikiwemo Geita, Mwanza Kama Inavyoonesha Hapo Chini.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Millionaire  Ads

.

Copyright © 2017 G4D MEDIA