Karibu katika blog ya G4D TZ REAL. Tangaza nasi biashara,matangazo,kazi na muziki wako hapa kwa bei nafuu sana wasiliana nasi kwa simu no. 0625910376 au WhatsApp no. 0755317537 Asante

Millionaire  Ads

Download Video Clip : Eric Omondi - The Gods Are Not Crazy We Are (The Gods must be crazy) { Official Video }


Eric Omondi ni mchekeshaji kutoka Kenya ambaye anakupa uhakika wa kucheka na kusmile kila time ukimsikia au kumtazama,  amekuwa na utundu wa  kuzirudia na kuziigiza movie na nyimbo za mastaa mbalimbali.
Time hii ameirudia movie ya ‘The gods must be crazy’ na ameeiita ‘The Gods are not crazy we are’, unaweza Kuidownload na kuitazama hapa chini

click

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Millionaire  Ads

.

Copyright © 2017 G4D MEDIA