Hot Posts

Za Hivi Punde : Tazama Picha Za Uokoaji Kwa Waliofukiwa Mgodini GeitaTaarifa zilizoripotiwa kutokea mgodini Geita kuhusu Wachimbaji 15 waliofukiwa na kifusi cha udongo kwa zaidi ya siku tatu zinasema kwamba wachimbaji hao wote 15 wameokolewa wakiwa hai na utaratibu mwingine wa huduma ya kwanza unaendelea, picha za tukio ndio hizi Hapa Chini
No comments