Karibu katika blog ya G4D TZ REAL. Tangaza nasi biashara,matangazo,kazi na muziki wako hapa kwa bei nafuu sana wasiliana nasi kwa simu no. 0625910376 au WhatsApp no. 0755317537 Asante

Millionaire  Ads

Hot Newz : Maneno ya Nape Nnauye baada ya Nay wa Mitego kuachiwa


Baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe, March 27, 2017 kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi  kumuchia huru msanii wa Bongo Fleva Nay wa Mitego na kutaka wimbo wake ‘Wapo’uchezwe kwenye vyombo mbalimbali.
Sasa aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kupitia ukurasa wake wa twitter hakuweza kuficha hisia zake juu ya maamuzi ambapo aliyaandika haya……>>>>> “Matumizi ya nguvu sana hayalipi! Kurekebisha kwa upendo hulipa! Hongera Rais, Hongera Mwakyembe kwa uamuzi wa Busara dhidi ya muziki wa Ney!” – Ney wa Mitego.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Millionaire  Ads

.

Copyright © 2017 G4D MEDIA