Hot Posts

Tazama & Download Video ya Show Nzima ya Msanii FUTURE Kutoka Marekani Leaders Club Dar (VIDEO)

Msanii Future kutoka nchini Marekani, amekamua shoo kali kinoma kwenye tamasha lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa kwa kipindi kirefu la Castle Lite Unlocks lililofanyika usiku wa Jumamosi hii sambamba na mkali Cassper Nyovest wa Afrika Kusini.
Future kwa kiasi kikubwa alifanikiwa kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki wake waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye viwanja vya Leaders
Future ambaye jina lake halisi ni Nayvadius DeMun Wilburn, mzaliwa wa Atlanta, Georgia, anafahamika zaidi kwa ngoma zake kali kama Turn On the Lights, Move That Dope, Fuck Up Some Commas, Where Ya At, Jumpman, Low Life na Mask Off, ameacha historia ya aina yake Bongo.
click

No comments