Hot Posts

Diamond Awa Na Haya Ya Kusema Baada Ya Video Ya HALLELUJAH Kufikisha Views million 1 Kwa Masaa 15


“Nyota njema huonekana asubuhi,” hilo limeanza kuonekana katika wimbo mpya wa Diamond, Hallelujah.

Msanii huyo wa WCB, kupitia mtandao wa Instagram ameonyesha kutoamini kwa kile kinachotokea kupitia wimbo wake huo baada ya kuweka rekodi ya kutazamwa zaidi ya mara milioni moja katika mtandao wa YouTube ndani ya masaa 15.

Lord have Mercy! I can’t even Explain how grateful i am…1 Million Youtube Views within 15 hours…..Thank you so much for this Love and Support…. Let’s take our African Music to the World….🙏
(Nawashkuru sana kwa Upendo, Sapoti na kuendelea kupokea kidogo changu niwapacho… Nawashkuru sana, Niwashkuru pia kwa kuifanya #Hallelujah kuwa imetizamwa mara Milioni 1 ndani ya Masaa 15….Tuendelee kushikana na kuupeleka Mziki wetu Duniani zaidi….🙏)
Ukipata Tatizo Wasiliana Na uongozi Wa G4d Media Kwa +255755317537 Upewe Maelekezo
Au 
For More CheckUs Down here @
Click>>>>>>>To Follow Us Instagram @ G4dtz_Real <<<<<<<Click

No comments